Edward 21 Flashcards Preview

Swahili > Edward 21 > Flashcards

Flashcards in Edward 21 Deck (17):
0

Who is this person? (Close to you)
Who is that person? (Further, can point to)

Huyu ni nani?
Yule ni nani?

1

How do you pronounce it?

Unaisemaje hiyo?

2

How do you spell it?

Unatamkaje hiyo?

3

Can you repeat that please?

Unaweza kurudia hiyo tafadhali.

4

Did I say that correctly?

Nimeisema hiyo kwa usahihi?

5

Thank you for reminding me.

Asante kwa kunikumbusha.

6

Can you remind me of your name?

Unaweza kunikumbusha jina lako?

7

Your turn

Zamu yako

8

Yesterday, we learned different things.

Jana, tulijifunza mambo mbalimbali.

9

I will bring to you.

Nitakuletea

10

Lord be praised, Amen. I love Jesus. We bring you greetings from our church in America.

Bwana asifiwe, amina. Ninampenda Yesu. Tunawaletea salaam kutoka kanisani kwetu Amerika.

11

We are missionaries with AIM

Sisi ni wamishonari wa Africa Inland Mission

12

We have been in Kenya for 4 years.

Tumekuwa Kenya kwa miaka minne.

13

We are here to learn Swahili.

Tupo hapa kujifunza Kiswahili.
Tupo hapa tujifunze Kiswahili.

14

We love Kenyans.
We love Kenya.

Tunawapenda WaKenya.
Tunaipenda Kenya,

15

There is no difference.

Hakuna tofauti.

16

Not true

Sio kweli.
Siyo kweli.