Edward 14 Flashcards Preview

Swahili > Edward 14 > Flashcards

Flashcards in Edward 14 Deck (32):
0

With Joy

Kwa Furaha

1

Prayer Breakfast

Maombi ya chakula cha asubuhi

2

So that

Ili

3

Service

Ibada
Ibada

4

Preacher

Mhubiri
Wahubiri

5

Chapter

Mlango
Milango

6

Door or Gate

Mlango
Milango

7

That

Kwamba

8

Not yet

Bado

9

To test, examine

Kupima

10

I would like to test your heart

Ningependa kupima moyo wako

11

Turn left please

Geuka kushoto tafadhali
Ugeuke kushoto

12

Please sit

Keti tafadhali
Uketi

13

Lie down please

Lala chini tafadhali
Ulale chini

14

Drum or Barrel

Pipa
Mapipa

15

Leaf

Jani
Majani

16

Axe

Shoka
Mashoka

17

Tooth

Jino
Meno

18

Shirt

Shati
Mashati

19

Box

Sanduku
Masanduku

20

Hoe

Jembe
Majembe

21

Sailboat

Dau
Madau

22

Car

Gari
Magari

23

Aly has just eaten my eggs

Aly amekula mayai yangu

24

I saw your car at RVA

Niliona gari lako katika RVA

25

Aly needs her box

Aly anahitaji sanduku lake

26

My shirt is the color blue

Shati langu ni rangi ya bluu

27

Mama Aly brushed her teeth this morning before going to RVA

Mama Aly alipiga meno yake asubuhi leo kabla ya kuenda katika RVA

28

Test or Exam

Mtihani
Mitihani

29

Cancer

Saratani
Saratani

30

Stomach Cancer

Saratani ya Tumbo

31

To stay or sit

Kukaa