KIU B Flashcards Preview

Swahili > KIU B > Flashcards

Flashcards in KIU B Deck (29):
0

My child is good.
My children are good.

Mtoto wangu ni mzuri.
Watoto wangu ni wazuri.

1

My book is good.
My books are good.

Kitabu changu ni kizuri.
Vitabu vyangu ni vizuri.

2

My computer is good.
My computers are good.

Komputa yangu ni nzuri.
Komputa zangu ni nzuri.

3

My bag is good.
My bags are good.

Mfuko wangu ni mzuri.
Mifuko yangu ni mizuri.

4

My grandfather is good.
My grandfathers are good.

Babu yangu ni mzuri.
Babu zangu ni wazuri.

5

My name is good.
My names are good.

Jina langu ni zuri.
Majina yangu ni mazuri.

6

My wall is good.
My walls are good.

Ukuta wangu ni mzuri.
Kuta zangu ni nzuri.

7

My home is good.

Nyumbani kwangu ni kuzuri.
Nyumbani pangu ni pazuri.
Nyumbani mwangu ni mzuri.

8

That is my one good Swahili teacher.
Those are my three good Swahili teachers.

Yule ni mwalimu wangu mmoja mzuri wa Kiswahili.
Wale ni walimu wangu watatu wazuri wa Kiswahili.

9

Those 3 good doctors (just) came from Japan.

Madaktari wale watatu wazuri wametoka Japani.

10

Our guards are good.

Walinzi wetu ni wazuri.

11

I love my parents.

Ninawapenda wazazi wangu.

13

This is his one good clothing shop.
These are his two good clothing shops.

Hili ni duka lake moja zuri la nguo.
Haya ni maduka yake mawili mazuri ya nguo.

13

These are their windows.

Haya ni madirisha yao

14

This is a new shop.
These are new shops.

Hili ni duka jipya.
Haya ni maduka mapya.

15

At this hotel we do not cook or sell pork.

Katika hoteli hii hatupiki na hatuuzi nyama ya nguruwe.

16

Bring me rice and beef.

Niletee wali na nyama ya ng'ombe

17

Customer
Waiter

Mteja
Mhudumu

18

Your big luggage was lost.

Mzigo wako mkubwa umepotea.

19

This is my tall fruit tree.
These are my tall fruit trees.

Huu ni mti wangu mrefu wa matunda.
Hii ni miti yangu mirefu ya matunda.

20

This arm is broken.

Mkono huu umevunjika.

21

Her salary is good.

Mshahara wake ni mzuri.

22

We do not want to drink beer because we are afraid of being drunk.

Hatutaki kunywa bia kwa sababu tunaogopa kulewa.

23

This is my one small Swahili book.
These are my two small Swahili books.

Hiki ni kitabu changu kimoja kidogo cha Kiswahili.
Hivi ni vitabu vyangu viwili vidogo vya Kiswahili.

24

This is my one good Swahili teacher.
These are my three good Swahili teachers.

Huyu ni mwalimu wangu mmoja mzuri wa Kiswahili
Hawa ni walimu wangu watatu wazuri wa Kiswahili

25

That is his one good clothing shop.
Those are his two good clothing shops.

Lile ni duka lake moja zuri la nguo.
Yale ni maduka yake mawili mazuri ya nguo.

26

That is my one small Swahili book.
Those are my two small Swahili books.

Kile ni kitabu changu kimoja kidogo cha Kiswahili.
Vile ni vitabu vyangu viwili vidogo vya Kiswahili.

27

That is my tall fruit tree.
Those are my tall fruit trees.

Ule ni mti wangu mrefu wa matunda.
Ile ni miti yangu mirefu ya matunda.

28

That is a new shop.
Those are new shops.

Lile ni duka jipya.
Yale ni maduka mapya.