CS Ch. 10 Flashcards Preview

Swahili > CS Ch. 10 > Flashcards

Flashcards in CS Ch. 10 Deck (24):
1

I feel very thirsty.

Naona kiu sana.

2

This switch turns on the bedroom light.

Swichi hii yawasha taa ya chumba cha kulalia.

Yatasha is indefinite tense, -a-, not tied to a particular time.
i + a + tosha (taa is N class singular).

3

Wash basin is there.

Beseni ya kunawia ipo pale.

Nawa - to wash

4

Let me unfold the mosquito net now.

Nikunjue chandalua sasa.

5

Bedding will be sufficient.

Matandiko yatatosha.

6

I put your key on top of the shelf.

Nimeweka ufunguo wako juu ya rafu.

7

It is better that you order now.

Afadhali uagize sasa.

8

I must eat fish.

Lazima nile samaki.

9

The cashew harvest time is when many (people) will come here.

Ni wakati wa mavuno ya korosha ambapo wengi watakuja hapa.

10

He is on holiday.

Yuko likizoni.

11

He is on business.

Yuko kazini.

12

He works at a company that sells agricultural tools. (Use amba-)

Afanya kazi katika kampuni ambayo yauza zana za kilimo.

Afanya and yauza are indefinite tenses, not tied to a particular time.

13

Will you eat inside or should I bring to you here outside?

Utakula ndani ama nikuletee hapa nje.

14

Furniture

Fanicha (N)
Samani (N)

15

Curtain

Pazia
Mapazia

16

Soap

Sabuni (N)

17

Towel

Taulo (N)

18

Carpet

Mkeka (M/Mi)
Zulia (Ji/Ma)

19

Kenya gets a new government. (Headline).

Kenya yapata serikali mpya.

Serikali (N)

20

Earthquake kills 100. (Headline)

Tetemeko laua 100.

Tetemeko (Ji/Ma)
l + a + ua.

21

Match postponed. (Headline)

Mechi yaahirishwa.

Mechi (N)
i + a + ahirishwa.

22

He is among the children.

Yuko miongoni mwa watoto.

23

I do not have any money.

Sina pesa zozote.

24

He will unlock the door right away.

Atafungua mlango sasa hivi.