CS Ch. 6a Flashcards Preview

Swahili > CS Ch. 6a > Flashcards

Flashcards in CS Ch. 6a Deck (28):
1

They have repaired the roof but not (yet) the walls.

Wamekarabati paa lakini kuta bado.

2

She said she will go to the library to read English magazines.

Alisema atakuenda maktaba asome magazeti ya Kiingereza.

3

E form of Verb

One of 4 uses:
1. Suggestion - "let's" or "should we"
2. Purpose - in order to
3. Polite Request - "please do this"
4. Should or Must

4

Better that she reads Swahili magazines.

Afadhali asome magazeti ya Kiswahili.

5

Why are you late like this?

Mbona umechelewa hivi?

6

Suddenly I realized my white beads were lost.

Mara niliona shanga zangu nyeupe zimepotea.

7

I started to look for them (beads) on the path near the library.

Nilianza kuzitafuta njiani karibu na maktaba.

8

Have you found them (beads)?
I did not find them.

Umezipata?
Sikuzipata.

9

You will get an opportunity to go to Zanzibar by boat?

Utapata nafasi kuenda Zanzibar kwa boti?

10

You will get tickets at the office there.

Utapata tiketi ofisini pale.

11

There is a schedule on the wall.

Pana ratiba ukutani.

12

We should go to Zanzibar by plane. It is a journey of 20 minutes only.

(Ni) Afadhali tuende Zanzibar kwa ndege. Ni safari ya dakika ishirini tu.

13

A walk or a stroll

Tembezi
Matembezi

14

Whole night

Kucha

15

Whole day

Kutwa

16

Dawn

Alfajiri

17

Midday

Adhuhuri

18

Sunset

Magharibi

19

Broom

Ufagio
Fagio

20

Tongue

Ulimi
Ndimi

21

Song

Wimbo
Nyimbo

22

Illness

Ugonjwa

23

A long broom
Long brooms

Ufagio mrefu
Fagio nrefu

24

She must go to the library.

(Ni) Lazima aenda maktaba.

25

Please stand here.

Usimame hapa.

26

Please buy some fish tomorrow.

Ununue samaki kesho.

27

Have the technicians finished repairing that church?

Mafundi wamemaliza kukarabati kanisa lile?

28

Please do not cook them (bananas).

Usizipike