SwahiliPod101.Notes.1 Flashcards Preview

Swahili > SwahiliPod101.Notes.1 > Flashcards

Flashcards in SwahiliPod101.Notes.1 Deck (34):
0

What's going on?

Niaje?

1

Wait

Gonja
Ngoja
Subiri
Subira
Saburi

2

Seriously?

Haki?

3

Right!?
Isn't that right?

Sivyo!?

4

What does "Gari" mean?

Gari lina maanisha nini?

5

Understood?

Umeelewa?

6

Maybe (non-commital agreement)

Pengine

7

No thank you

La asante

8

Excuse me (going through a crowd)

Kunradhi

9

Thank you for coming.

Asante sana kwa kuja

10

No problem at all

Hakuna shida hata

11

Don't worry

Usiwe na wasiwasi

12

Good morning

Sabalheri

13

Good night

Usiku mwema

14

Excuse me! I beg to use your pen

Kunradhi! Ninaomba kutumia kalamu yako.

15

It is 100 years since (when) he died.

Ni miaka mia moja tangu alipokufa.

16

Do you have paper and pen?

Una karatasi na kalamu?

17

Where can i exchange money?

Ninaweza kubadilisha pesa wapi?

18

I have been sent by your friend to come and see you. (subjunctive)

Nimetumwa na rafiki yako nije nikuone

19

Thank you for coming to see me at the hospital

Asante sana kwa kuja kuniona hospitalini.

20

I brought you gifts; some for these children and some for you.

Nimekuletea zawadi; zingine za hawa watoto na zingine zako.

21

Please forgive me.

Tafadhali nisamehe.

22

You just stepped on me.

Umenikanyaga

23

How have you been, my friend?

Umekuwa aje, rafiki yangu?

24

Have a nice time. I am leaving now.

Uwe na wakati mwema, sasa naondoka.

25

Meet my wife. Her name is Sandy.

Kutana na mke wangu. Jina lake ni Sandy.

26

You have already returned from school?

Umesharudi kutoka shule?

27

Is there anybody home?

Je, kuna yeyote nyumbani?

28

May we come in, we have arrived.

Hodi, tumefika.

29

Which food have you prepared for us.

Chakula kipi umetuandalia?

30

Food is ready. Welcome, let's eat.

Chakula ni tayari. Karibu tule.

31

Please reduce the flames.

Tafadhali punguza moto.

32

Oh, I've burnt your kitchen towel.

Oh nimeichoma taulo yako ya jikoni.

33

I will give oranges to those who arrived yesterday.

Nitawapa machungwa wale waliofika jana